Monday, 12 August 2013

DR.ELIE V.D WAMINIAN





Haya ni baadhi ya maneno ambayo DR.ELIE V.D WAMINIAN aliyasema ndani ya chimbo
1.Degree siyo Akiri
2.Kuona ni kutambua unachoangalia
3.Adui yako ni muhimu(ni ngazi katika maisha yako)
4.What you can not understand you can not stand
5.Mtu anakumbukwa kwa mambo mawili
(a)alichokisababisha
(b)alichokisuruhisha
6.Maisha ni fact siyo Bahat
Mwanachimbo emb naww toa yako, Tuidiscuss

10 comments:

  1. Thats is mister, watu wengi wamekua wakifahamu kuwa shahada ndo akili na ajira.

    ReplyDelete
  2. Huyu jamaa yupo fit sana katika fani yake. Anaijua na anaipenda, kamwe huwezi kuacha kumsikiliza anapoongea kwasababu anatumia Maneno yaliyobeba falsafa ndani yake. Hekima imefichwa ndani ya umbo la neno. Haikuwekwa wazi kama wengi wetu tunavyofikiri. Kuishi ni uchaguzi. Kushindwa ni tukio sio Matokeo.Maneno kama haya ni lazima utataka ufafanuzi wake kabla ya kuweka maana yako binafsi.

    Binadamu wote tunazaliwa sawa lakini wakati wa kufa tuna kuwa tumeachana sana. Hii inatokana na uchaguzi ambao kila mtu alifanya.

    Asante ni Kwa kuja.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tafadhali nahitaji saut ya doctor elie akiwa anafundisha naomba kama uponayo tafadhali nitumie saut yake tu.

      Delete
  3. Wanandoa lazima watofautiane ili mahusiano yadumu. Hakuna aliye timilifu

    ReplyDelete
  4. Umezaliwa kwa ajili ya wengine, unawaona wengine ila hujioni. Ulipozaliwa walifurahi wewe ukiwa unalia na ukifa wao watalia wewe umenyamaza.

    Ukisha maliza elimu yako weka vyeti pembeni jiulize bila hivyo vyeti ungekuwa nani?

    ReplyDelete
  5. Maisha cyo kukariri n kuhariri

    ReplyDelete
  6. Maisha cyo kukariri n kuhariri

    ReplyDelete
  7. Harrah's New Orleans Hotel and Casino Tickets - JTM Hub
    JTH's New Orleans Hotel and Casino Tickets. All Harrah's New Orleans Hotel and Casino 여주 출장안마 Tickets have been purchased with 인천광역 출장마사지 JTH's verified dates verified Dec 김해 출장마사지 31, 2017 김해 출장샵 · Uploaded by 보령 출장샵 JTB - Music

    ReplyDelete