Mhe. Sumaye na Wakurugenzi wa CHIMBO

Mh. Sumaye akiwa kwenye picha ya pamoja na wakurugenzi wa CHIMBO

Thursday, 15 August 2013

Mhe. Sumaye na wakurugenzi wa chimbo


Mh. Sumaye akiwa kwenye picha ya pamoja na wakurugenzi wa CHIMBO

Monday, 12 August 2013

DR.ELIE V.D WAMINIAN





Haya ni baadhi ya maneno ambayo DR.ELIE V.D WAMINIAN aliyasema ndani ya chimbo
1.Degree siyo Akiri
2.Kuona ni kutambua unachoangalia
3.Adui yako ni muhimu(ni ngazi katika maisha yako)
4.What you can not understand you can not stand
5.Mtu anakumbukwa kwa mambo mawili
(a)alichokisababisha
(b)alichokisuruhisha
6.Maisha ni fact siyo Bahat
Mwanachimbo emb naww toa yako, Tuidiscuss

Sumaye ndani ya chimbo










    Mh. Frederick Sumaye



Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Frederick Sumaye akisisitiza jambo juu ya amani ya nchi na mustakabali wa Taifa letu ndani ya CHIMBO